The Football House

SIMULIZI YA TFH

The Football House Ltd ni kampuni inayoshughulika na kusimamia shughuli za mpira na usimamiz wa wachezaji kupitia mfumo uliowekwa wa kuwanunganisha wachezaji, makocha, mawakala na vilabu mbali mbali katika Afrika Mashariki. Pia tunatoa fursa kwa wachezaji wetu wa ndani kupata nafasi ya kuonekana katika ligi nyingine mbali mbali barani Ulaya na Marekani.

  • Pale Biashara na Mpira Vinapokutana
  • The Football House Ltd.

The Football House Ltd imebahatika kua na washiriki kadha wa kadha

Washirika Wetu

Mashirika

Vyuo vya Elimu ya Juu

Vilabu na Vyuo Vya Soka

Serikali na Mashirika ya Umma

Bofya Kupata Nakala Yetu Kila Mwezi